MAJALIWA – TUTASIMAMIA KIKAMILIFU UTEKEKEZAJI WA BAJETI

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya usimamizi wa miradi pamoja na ufuatiliaji wa karibu wa utekelezaji wa bajeti yake ili rasilimali zilizopo ziweze kuwa na tija inayoendana na thamani ya fedha za walipa kodi. “vipaumbele muhimu vitaendelea kuzingatiwa ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya utoaji wa huduma kwa wananchi